|
hekima kwaya mzigoni |
Kanisa la Moravian kila mwaka huazimisha sikukuu ya Umoja wa Vijana katika shirika zake zote, mwishoni mwa mwezi Mei, Vijana ushirika wa Kinondoni wakiwemo hekima na wadogo zao New Hope kwaya watakuwa wakisherehekea sikukuu hiyo kwa kishindo ushirikani kwao, Blog ya hekima ilikutana na Mwenyekiti wa Vijana Dk F.Mwakibinga ambaye alisema kuwa maandalizi yanaendelea vizuri.Blog hii itakuwa live siku ya jumapili kwa ajili ya kukuletea wewe mtazamani mambo yatakayokuwa yakijiri. pia kwenye face book.mbarikiwe sana
No comments:
Post a Comment