Ilikuwa safi sana wakati Mtunza hazina wa umoja wa vijana na elimu ya kikristo kanisa la Moravian Ushirika wa Kinondoni Rehema Sipendi alipompata wa kufa na kuzikana, aisee palikuwa hapatoshi maana kanisa lilitapika vilivyo, Mungu akubariki dada yetu
No comments:
Post a Comment