Utulivu mahakamani, aaaaaa nononono utulivu ibadani, umeonaeeeeeeeee |
Wapi mama mwaipaja Soloo, ulitokaje aiseee wewe ni mkaliii bana, tulibarikiwa sana na wewe siku ya sherehe ya umoja wa kinamama |
Haya sasa oooh uzeee Mwesho Ant Tona, wapi mama Mwaipasi, utawataka mwenyewe, tunabarikiwa sana na mama zetu hawa Mungu awabariki na aendelee kuwalinda daima |
No comments:
Post a Comment