AD (728x90)

Friday, April 27, 2012

Kwaya Kuu Kinondoni Moravian kuzindua nyimbo zake Jumapili

Magwiji wa Uimbaji Kanisa la Moravian Usharika wa Kinondoni KWAYA KUU wakiwa katika picha ya pamoja hivi karibu, Jumapili hii kwaya hiyo inaweka wakfu nyimbo zao zilizorekodiwa hivi karibuni ushirikani hapo, kwaya mbalimbali zitakuwepo bila kusahau wanao wapendwa Hekima kwaya wakiwa nyuma yao, Karibuni sana 

KWAYA KUU Kinondoni Moravian ikifanya mambo yake Kanisani, aiseee wewe njoo uone mwenyewe kwa nini usimuliwe, Barikiwa sana, wanazindua Albam yao ya kwanza jumapili hii ya tarehe 29/04/2012

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism