Monday, May 23, 2011
USOLO UNAHITAJI MOYO WA KUJITOA
Hapani Jackline ambaye ni solo wa hekima kwaya akiwajibika vilivyo jukwaani, waimbaji mtaungana nami kuwa kazi ya usolo ni ngumu na inayhitaji muda wa kutosha wa kukaa na mwalimu ili kupata mafanikio bora, Mungu awabariki masolo wote mnaojishughulisha kuujenga mwili wa kristo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment