AD (728x90)

Monday, May 23, 2011

CHAKULA NI SEHEMU MUHIMU KATIKA UIMBAJI

Hekima kwaya wakipata chochote kitu wakiwa katika nchi ya Malawi hivi karibuni, safari hiyo ilikuwa ya  baraka sana, maana mkono wa Mungu ulikuwa juu yetu, nasi tunazisimulia sifa zake, maana kwetu sisi Mungu ni kimbilio na nguvu

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism