Monday, May 23, 2011
TUMEACHWA NA GARI TUFANYAJE ?
Katibu mkuu wa idara ya umoja wa vijana Kanisa la Moraviani Ushirika wa Kinondoni Anyingisye Mwanjoka akifanya mawasiliano mara baada ya kuachwa na gari wakiwa katika huduma, kwaya huwa zinatabia hii ya kuwaacha wenzao, lakini walikuwa wapi hawakujali muda hawa, haya hongera zenu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment