Kanisa la Moravian Ushirika wa Kinondoni jana ulikuwa ukiadhimisha sikukuu ya Kanan (Canaan Day) baada ya kutimiza muda miaka 11 ya kuhamia eneo hilo na miaka 10 ya ujenzi wa kanisa hilo.awali usharika huo ulikuwa ukiabudu kwenye shule na mara nyingine kwenye nyumba za wakristo.hivyo basi mpaka kujenga kanisa hilo na kukamilika wengi wanalinganisha kipindi hicho kama wana wa Israel walipotoka Misri kwenda Canaan jinsi walivyopata majaribu mengi na wengine kutaka kurudi nyuma. Mungu na ashukuriwe
No comments:
Post a Comment