Mwenyekiti wa kanisa la Moravian Jimbo la Mashariki, Mchungaji Clement Fumbo akiendesha ibada ya kuadhimisha siku kanisa hilo lilipohamia katika eneo la Kinondoni mtaa wa Msisiri jijini Dar es Salaam pamoja na mambo Mengine mwenyekiti alichangisha kiasi cha Sh 22milioni kwa ajili ya ujenzi mwingine wa kituo cha biashara (gorofa saba0 ujenzi unaotarajiwa kuanza mwezi wa tisa mwaka huu
No comments:
Post a Comment