AD (728x90)

Monday, February 6, 2012

Tulikula keki na kunywa vinywaji baridi ndani ya bwana

Mr Mwaipopo aka Jembe akiwa na Dada Rehema wakiisogeza keki iliyokuwa imetengenezwa kwa mfano wa umbo la kanisa, keki hiyo ilikatwa na mgeni rasmi Mchngaji Fumbo, ilikuwa tamu acha kabisa

Hapa Rehema aliwasha mishumaa, katika watu waliofaidika siku hiyo basi ni huyu dada ambaye siku hiyo ilikuwa tarehe yake ya kuzaliwa mbali na hilo ni mmoja kati ya wakristo waanzilishi wa kanisa walipokuwa wakisali katika madarasa.Mungu ashukuriwe

Kweli shughuli ilimkuta mshuhulishaji maana dada Rey aliwajibika asavyo hapa anazima mishumaa ishara ya hiyo miaka 10, nilitamani nipulizie naye kuizima lakini ndiyo hiy tena mimi nimezaliwa mwezi wa kumi na mbili, Hongera sana wakwetu

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism