AD (728x90)

Monday, February 6, 2012

Keki pia ilikumbusha uzuri wa ndoa katika kanisa

Mr Mwaipopo aka Jembe ambaye pia ni Mwenyekiti wa ujenzi Kanisa la Moravian Ushirika wa Kinondoni  akimlisha keki mkewe Foibe Mwaipopo aka mama wa wa hekima siku ya Canaan ilikuwa safi sana uliyekosa sijuiiiiii

Haya sasa zamzam mama Mwaipopo akikumbushia enzi zile mwaka gani sijua alafu kama anamnong'oneza mzee kwa maneno kwamba "unakumbuka mwaka ule kwenye harusi yetu" aisee acha kabisa sherehe zilikuwa nzuri ajabu.Mungu bariki kanisa letu liwe kivuli cha baraka na neema tele

Kwata nazo zilipigwa kama kawa, tumesha kula kakae kwako na mimi naenda kukaa kwangu, umeonaeeeee, jembe anatubariki sana kanisani

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism