Hekima kwaya wakifuatilia kwa makini ibada ya siku ya Canaan iliyofanyika katika kanisa la Moravian Usharika wa Kinondoni |
Hapa Wapo makini kufuatilia Neno la Mungu ambalo ndilo chakula chetu cha kiroho hasa kwetu sisi tunaoamini kuwa Yesu Kristo ni bwana na mwokozi wa maisha yetu |
Kwaya kuu nao walikuwepo, hapa wakifanya mambo yao si umeone kifimbo kama kawa |
No comments:
Post a Comment