Mungu awabariki watumishi kwa kazi nzuri mnayoifanya, tambueni kuwa mkimtumikia Mungu atawaheshimu, msikate tamaa kwani mtavuna kwa wakati msipozimia moyo |
Aisee huyu jamaa anayewadizainia uniform mkali, mmependeza sana lazima kwaya ziige mfano ili kwaya zetu ziendelee kuwa bora katika mambo yote yaani kimwili na Kiroho, mbarikiwe sana |
1 comment:
mungu awabariki sana watumishi tunawatakia huduma njema
Post a Comment