|
Mungu wa amani ametunusuru katika majanga haya, ee Yesu wakumbuke wale wote waliofikwa na jambo hili |
|
Mungu ametulinda dhidi ya ajali za barabarani, hatuja tenda mambo mema ila ni kwa neema tu, Eee Mungu ushukuriwe |
Mungu wetu asifiwe, Hakika ni neema ya Mungu kwa maana hatuangamii, Hekima kwaya tunakila sababu za kumshukuru Mungu wetu aliye hai kwa kututunzana kutubariki sana katika mwaka uliopita.kwetu sisi mwaka jana haukuwa mwepesi hata kidogo lakini kwa neema ya Mungu tumeweza kuvuka.Ungana nasi kumshukuru Mungu na kumpa sifa kwa ukarimu wake na matendo makuu anayoendelea kututendea sisi wajoli wake. Eeee Yesu hatutakuacha.
No comments:
Post a Comment