Mapema wiki iliyopita Hekima kwaya tulianza mchakato wa kushiriki katika kutengeneza wimbo wa miaka 50 ya uhuru wetu Tanzania, tukijaribu kutafakari tulikotoka tulipo na tunakotaka kwenda, Ni wazi kuwa viongozi wetu wamejitahidi kutekeleza ILANI mbalimbali japo kuwa kumekuwepo na changamoto zinazoweza kurudisha nyuma maendeleo ya nchi kiuchumi, miongoni mwa picha utakazoziona leo ni sehemu ya 'video shooting' Mbarikiwe sana.
|
Angel, Rose na Joyce wakivuta hisia wakati wa kurekodi wimbo wa Tanzania yetu |
|
Hekima wakifanya mavituzi yao |
|
Haina kuuliza ni hisia tu hizi watumishi wanaililia Tanzania |
|
Si mapambo haya ni namna ya kucheza na adobe photo, Cathe akiwajibika ipasavyo |
|
Palikuwa hapatoshi, Mbele Cathe aka Vunja, Jackline aka Mama Jemima, Conjester aka Mtumishi, Happy aka Polisi, Vero aka mama Danny |
|
Adelina na Bumi wakisikitika kuhus nchi yao |
|
Mwalimu Peter |
|
Wazeee wa misauti wakifanya kazi ya kutikisa kuzimu |
|
Nehemia aka Ney wa Ney |
|
Mtumishi Angel akivutahisia kali kuililia Tanzania, hakika machozi halisi ya wateule yafaa katika meza ya Bwana |
|
Mtumishi Conje umeonaeeeee, aiseee wewe ni Mukari |
No comments:
Post a Comment