Monday, June 6, 2011
Hili ni Jembe Kinondoni Moravian
Huyu ni Profesa Mbonile kutoka katika chuo kikuu cha Dar es Salaam ambaye pia kwasasa ameteuliwa na chuo kikuu cha Teofilo Kisanji kuwa mkuu wa chuo hicho tawi la hapa Dar es salaam.Hapa alikuwa anawaandaa wakristo ili watoe fedha kwa ajili ya ununuzi wa vyombo vya Muziki, Blog hii inakupongeza na kukufagilia sana mzeee wetu, barikiwa sana tu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment