Monday, June 6, 2011
Harakati za kutafuta vyombo vya muziki
Kanisa la Moravian Ushariki wa Kinondoni sasa lipo katika mchakato wa kuhakikisha linakuwa navyombo vizuri katika Ibada, ili kumuinua yesu kristo bila Uoga, Kufuatia hali hiyo jana lilifanyika Tamasha kubwa la kuchangia fedha kwa ajili ya vyombo, Picha hii inaonyesha Mwenyekiti wa Vijana Dk Fredrick Mwakibinga (kulia) akiwa na mgeni rasmi aliyeambatana naye katika tamasha hilo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment