Monday, May 16, 2011
THE REAPERS WANAKUJA VIZURI SANA
Wimbo wa ninaye rafiki umetokea kupendwa sana na wasikilizaji wengi wa muziki wa injili hasa kutokana na wanaousolo wimbo huo kuimba kwa ustadi mkubwa. The Reapers ni kwaya inayokuja kwa kasi sana katika anga za Muziki wa injili, tayari wana album yao ya tatu iliyobeba jina la NINAYE RAFIKI inayopatikana katika Audio, CD, VCD, DVD na VHS.albamu zao zingine za awali ni MJUE MUNGU na NIMTUME NANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment