AD (728x90)

Monday, May 16, 2011

HARAKATI ZA MPIGANAJI

Hapa ni kijana mdogo wa umri Ramadhani aliye katikati ambaye mwaka jana  alidondoka kwenye ungo kwa imani za kishirikina.Kijana huyo baada ya mahojiano marefu na mpiganaji alikiri kuwa alikuwa na bibi yake wakienda nchini Kenya kuhudhuria mkutano wa wachawi lakini bahati mbaya walipofika katika eneo la Tabata kanisani Gari lao la usiku (UNGO) uliyumba na yeye akaanguka, huzuni sana studio, tumuombe Mungu sana maana mambo haya yapo

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism