Tuesday, May 17, 2011
MUZIKI KIONJO KIZURI CHA KUSIFU NA KUABUDU
Bila shaka waimbaji wengi mtaungana nami kuwa Mungu wetu wa mbinguni anapenda kukaa katika sifa, hata tukijaribu kufikiria kwa kiasi kidogo tu, mwanadamu anaposifiwa na kutukuzwa huweza kufanya hata kile kisichowezekana, je si zaidi sana Mungu wetu anayetujua vyema, wito wa blog hii ni kuyataka makanisa kuwa na vyombo vizuri vya kumtukuza Mungu vilivyo fanana na Mungu, si vyombo vikuukuu ambavyo badala ya kuleta uwepo wa Mungu makanisani vimekuwa ni kelele.Mungu atusaidie.angalia seti hii ya Muziki, hapa lazima ibilisi aaibishwe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment