AD (728x90)

Tuesday, May 17, 2011

LAZIMA KIELEWEKE KINONDONI REVIVAL

Baadhi ya wanakwaya wa kwaya ya Kinondoni Revival wakijumuika wakati wa uzinduzi wa mkanda wa video wa mwimbaji Miriam Mauki, hivi karibuni, hakika tuliuona mkono wa Mungu,kwamba anastahili kusifiwa katika pande zote za dunia

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism