Thursday, May 19, 2011
HAWA NDIYO MBEYA TOWN CHOIR
Ukisikia Mbeya town choir lazima utakumbuka ili nyimbo ya Mungalalamukaga, hawa jamaa waliicheza hiyo nyimbo kwa staili ya kitamaduni, walibamba sana na ndiyo wametoka na wanauza kweli, blog hii ya hekima kwaya inawapa big up na kuwatakia mafanikio mazuri zaidi, mungu aendelee kuwapigania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment