Waimbaji wa kwaya kuu ya Jimbo wakijiandaa kwa ajili ya maandamano ya kuzindu ushirika mpya wa Sayuni Mohravian, uliopo maeneo ya Boko |
Mwenyekiti wa Kanisa la Moravian Jimbo la Mashariki Mchungaji Fumbo akiwaongoza maelfu ya watu waliohudhuria kuanzishwa kwa ushirika mpya wa Sayuni eneo la Boko Jijini Dar es Salaam |
Makamu Mwenyekiti wa Jimbo baba Mchungaji Saul Kajura akiinamisha Chini waka ti wa maombi yaliyofanywa na Mke wake |
Mwenyekiti wa Jimbo Mch Fumbo akizindua nyumba ya Mchungaji iliyokamilika kwa sehemu ushirikani hapo |
No comments:
Post a Comment