Joseph Samson na Jackline Kasisika wakiwaongoza wana Hekima kwenye maandamano kabla ya kuzindua Ushirika Mpya wa Sayuni |
Huyu ni mama Mwaipasi hakika tunabarikiwa naye sana kwa kazi yake nzuri, katika uzinduzi huo wakinamama wa Moravian Kinondoni hawakuwa nyuma, mbarikiwe sana wakinamama |
Hekima kwaya wakifanya vitu vyao |
Mchungaji Saul Kajura akimbariki mtumishi wa Mungu Mwnjilisti Ndefula la mkewe kuwa wainjilisti rasmi wa Ushirika huo |
No comments:
Post a Comment