Mch.Conjester Mpanda akiwajibika vilivyo katika moja ya nyimbo kwenye sikukuu hiyo, aisee huyu dada Mungu anamtumia vilivyo. |
Hawa ndiyo Magwiji wa uimbaji Kinondoni KWAYA KUU ambao hadi leo wanaendelea kutunza mila ya kimoravian yaani kupiga mapigo na ile Fimbo wenyewe hupenda kuiita "Baton" |
No comments:
Post a Comment