Kutoka kulia ni Mtunza hazina wa Vijana Moravian Mrs Rehema Eginga, Mwenyekiti wa Vijana Dk Fredrick Mwakibinga na mama Mlezi wa vijana MAMA Kapalala |
Waaumini wakifuatilia kwa makini Sherehe hizo jijini dar es salaam |
Makamu Mwenyekiti wa Vijana Ayub Mbalazi akisoma Risala kwa Mchungaji iliyoelezea mambo yaliyofanywa na yatarajiwayo kufanywa, nyuma ni mchungaji Kabuka akiandika yanayojiri ndani ya hotuba |
Mchungaji wa kanisa la Moravian Ushirika wa Kinondoni Kushoto Pastor Kabuka, akiwa na Mgeni wake kutoka katika kanisa la Anglikan ambaye pia ni mkufunzi wa chuo cha St Max cha jijini Dar es salaam |
No comments:
Post a Comment