Moja ya matamasha ya kusifu na kuabudu yanayofanyika hapa nchini, hakika tunamuona Mungu akiwatumia watumishi wake, maana imeandikwa wazi kuwa Mungu wetu anakaa mahali pa sifa, Eee Yesu wabariki wale wote wanaojihudhurisha na kazi hii ya kusifu na kuabudu wapake mafuta yako Mungu |
No comments:
Post a Comment