AD (728x90)

Friday, September 2, 2011

Mwakasege kutua Dar kwa mara nyingine

Mwalimu Christopher Mwakasege anatarajiwa kuendesha semina ya Neno la Mungu Septemba 4, 2011 mpaka Septemba 11, 2011 kwenye Viwanja vya Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam.Semina hiyo itakuwa inaanza saa 9 alasiri mpaka saa 12 jioni kila siku.

Semina hiyo imeandaliwa na Kamati ya Maandalizi ya Mwl.Christopher na Diana Mwakasege, watu wote mnakaribishwa.Mungu anakwenda kufanya hata kile kilichoshindikana, njoo uupokee muujiza wako, vikundi mmbalimbli vya kwaya vitakuwepo katika sifa

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism