Wasamaria wema wakifanya jitihada za kuokoa miili ya wahanga wa ajali ya meli ya MV Spice Islanders |
Hekika kwaya kwa pamoja tunatoa pole wa wafiwa wote, hakuna mtu anayeweza kuwapa faraja ya kweli, lakini Mungu pekee ndiye mfariji wa maisha yetu, kwani hata Serikali ikifanya jitihada zote za kuhakikisha kuwa inatoa michango na kusaidia shughuli za mazishi bado uchungu upo.Mungu pekee ndiye mtetezi wa mambo yetu yote na faraja ya kweli katika maisha yet.Amani yake iwe nanyi katika kipindi hiki kigumu.
Amen
No comments:
Post a Comment