Moto mkali ukiteketeza soko la Sido lililopo katika eneo la Mwanjelwa mkoani Mbeya, Awali soko hilo ni chimbuko la soko la Mwanjelwa ambalo liliteketea mwishoni mwa mwezi wa 12 mwaka 2006 |
Mabanda yakiwa yameteketea leo katika soko la Mwanjelwa, ee Mungu tuepushe |
No comments:
Post a Comment