AD (728x90)

Monday, August 22, 2011

Tupo nyuma yako dada yetu

namimi nataka kuwa kama wewe, hizi ni sauti za wadogo zake Rehema sipendi
Hapa hekima kwaya wakiwa na nyuso za furaha wakishuhudia kufungwa kwa pingu za maisha kwa Mtunza hazina wao Bi. Rehema ndoa iliyofanyika jana katika kanisa la Moravian ushairika wa Kinondoni jijini Dar es Salaam , aisee palikuwa hapatoshi, pale mchungaji alivyotangazwa kwa mara ya kwanza ya pili ya tatu hakuna aliyejitokeza kupinga, ilimlazimu bwana harusi kugeuka nyuma, ilipendeza sana

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism