AD (728x90)

Monday, August 22, 2011

Hayawi hayawi, hekima kwaya waliimba wimbo huu

Hapa Bibi harusi Rehema ambaye pia ni Mtunza hazina wa umoja wa vijana Moravian Kinondoni akiondoka kuelekea sehemu ya ukumbi kupongezwa
Mtunza hazina wa Umoja wa Vijana  Moravian Kinondoni kampata wa kufanana naye, Ndoa hii imefungwa jana katika kanisa hilo ambapo waumini mbalmbali walihudhuria harusi hiyo, hakika ilikuwa safi sana, mkono wa bwana haukutupungukia,Mbarikiwe sana kwa kuonyesha njia...

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism