AD (728x90)

Friday, July 1, 2011

Rose Muhando na uhalisia halisi anaporekodi

Rose Muhando ni mwimbaji nguli wa nyimbo za Injili ambaye ametokea kuliteka ipasavyo soko la muziki wa nyimbo za Injili, vibao vyake kama nibebe na vingine vingi vimekuwa vikikonga mioyo ya watu hasa anapokuwa jukwaani.

Watu wengi wamekuwa wakijiuliza anapokuwa anarekodi hali inakuwaje, alkini jibu ni dogo tu, kwa mujibu wa watu wake wa karibu ni kwamba anaporekodi nyimbo zake hali yake unayomuona nayo akiwa jukwaani kadhalika ndivyo anavyokuwa studio, Mungu akubariki Rose katika huduma yako, wewe ni chombo cha sifa, tunabarikiwa nawe sana.

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism