Jumapili ijayo yaani tarehe 26/06/2011 ni sikukuu ya Umoja wa wakinamama kanisa la Moravian Tanzania, Siku hii Wanawake huitumia katika kuelezea mipango yao na mikakati endelevu wanayotarajia kuifanya na ambayo tayari ilikwisha fanyika.
Mapema jumapili iliyopita wakina mama waliwataka waumini wa kanisa hilo katika Ushirika wa Kinondoni kuungana nao pamoja katika kuhakikisha sherehe hiyo inafana na inakuwa ya aina yake. Umoja wa vijana kwaya ya Hekima na Middle inawapiongeza kwa kuanza maandalizi mapema na kuwatakia sikukuu njema yenye furaha na mafanikio imara.Mungu awabariki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment