Monday, May 30, 2011
MWENYEKITI HEKIMA ALIA NA UCHUMI WA IDARA
Mwenyekiti wa Idara ya Vijana na Elimu ya Kikristo, Kanisa la Moravian Usharika wa Kinondoni, Dk Fredrick Mwakibinga ambaye anaamini kuwa idara ikiwa na kipato cha kutosha itaweza kujiendesha yenyewe, katika picha hii anaonekana akiwa ibadani kwenye sikukuu ya vijana jana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Hongereni sana morovian, sisi ni waumini wa morovian ila tunasikitika kwa nini hatubadiliki? kwenye ibada kungekua na kuabudu na kusifu yaani kabla ya mahubiri ingependeza sana hata dk 10 tuu tucheze tufurahi na kuabudu. viongozi nendeni na wakati msing'ang'anie ya zamani,watu wengi wamekimbilia morovian wameenda makanisa mengine kwa ajili hiyo, hawapati uhuru wa kusifu na kuabudu. halafu kitu kingine ile kumtaja mtu eti asalishe kwa nini? acheni hizo mchungaji malizia kwa sala.mnisamehe kama nimewauzi.
nakubariana na anachosema mwenyekiti
. ni kweli idara nyingi ndani ya makanisa zinashindwa kujiendesha kwa kukosa fedha.
@anonymous biblia inasema Mungu anatafuta mtu atakayeweza kusimama katika boma na kujenga mahali palipobomoka,kama wewe ni mmoravian halisi basi utasimama wewe kama wewe na kuomba ili kanisa libadilike...mabadiliko yanaanzia kwako,mahtma ghandhi anasema be the change you want to see..simama,piga goti...omba...naam mabadiliko yatakuja...sio tu katika kanisa la moravian tu bali kanisa lote duniani pote,maana Mungu hataki kuabudu tu,bali kuabudu katika roho na kweli..barikiwa sana mmoravian.
Ahsante sana Thom na Agatha, mubarikiwe sana kwa ushauri wenu mwema na wenye barabka s ana kwetu, hakika mnatutia moyo sana katika safari hii ya kuujenga mwili wa kristo
Post a Comment