Huyu ni dada Rehema Sipendi ambaye ni Mtunza hazina wa kwaya ya vijana Moravian Kinondoni, hapa alikuwa anajaribu kuchakachua stepu wakati wa maandamano ya kuanza ibada ya sikukuu ya umoja wa vijana
Weeweeeeeeeeeeeee kwa Yesu kuzuri jamani, yaani ni full kujiachia katika ROHO NA KWELI. Haya jamani mambo ya kudnace hayo tunachukua mazoezi hapa mbinguni ni kucheza tu
3 comments:
weweeeeeeeeeeeee kwa YESU raha jamani, go Girl! yaani hapa kama paradisoooooooooooo, wacha tu tujifunze style maana mbinguni ni kudance mpaka basi
Weeweeeeeeeeeeeee kwa Yesu kuzuri jamani, yaani ni full kujiachia katika ROHO NA KWELI. Haya jamani mambo ya kudnace hayo tunachukua mazoezi hapa mbinguni ni kucheza tu
kweli kabisa mpendwa ni full kujiachia sasa wewe disco huendi unataka ukacheze wapi, yaani uhondo wote kanisani
Post a Comment