Mgeni rasmi katika sherehe ya sikukuu ya vijana Dada Ester Kapalala akizindua rasmi blog ya Hekima leo, wanaoshuhudia ni Mchungaji wa ushirika Kabuka, Peter Edson Mwalimu wa Kwaya, Rehema Spendi aliyepo kushoto wakiwa makini kuangalia kinachoendelea, ilikuwa safi sana
No comments:
Post a Comment