Thursday, May 26, 2011
HUYU NDIYE MWENYE MTAA WA KINONDONI
Mwenyekiti wa mtaa wa Kanisa la Moravian Usharika wa Kinondoni Leah Mwainyekule akiwa katika pozi wakati wa ibada ya kumuaga mchungaji aliyestaafu hivi karibuni, awali Leah alikuwa makamu wa Mwenyekiti mtaa huo lakini katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni ulimpitisha awe kiongozi wa mtaa, Mungu Blog hii inakuombea mema, barikiwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Hongera Dada Leah Mwainyekule kwa kuwa Mwenyekiti wa Mtaa wa Kinondoni.
Sisi MBEYA MORAVIAN TOWN CHOIR tunakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu kwenye Kiti hicho ili kazi yake isonge mbele!
Nashukuru kwa maombi yenu. Ni tumaini langu kwamba tutakuwa pamoja katika kumtumikia Mungu ili tuweze kuuendeleza Mtaa wetu ufanye makubwa zaidi katika awamu hii
Mungu hawezi kututupa kwa kwa kuwa tumelichagua jina la yesu kulitumikia, zaidi sana upendo mshikamano na umoja viwe nasi tutafanya makubwa, barikiwa sana, wasalimu Mbezi
Post a Comment