AD (728x90)

Thursday, May 26, 2011

HAPA NI KWAYA YA MTAA WA KINONDONI IBADANI

Waimbaji wa kwaya ya mtaa wa kinondoni unaojumuisha shirika za Mwenge, Mbezi Beach, Kawe na Kinondoni wakiwa katika ibada ya pamoja ya kumuaga mchungaji wa usharika wa Kawe ambaye alistaafu, siku hiyo ilikuwa njema sana na mkono wa bwana haukupungua

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism