Friday, May 6, 2011
WOTE TUMETOKEA KWENYE KWAYA YATUPASA KUZIINUA
Ni jambo la wazi na ukweli kwamba asilimia 99 kama siyo mia moja za wasanii wa nyimb za injili kabla ya kuibuka walitokea kwenye kwaya mbalimbali hapa nchi lakini pia hata duniani.huu ni ukweli usiopingwa kwani baadhi ya waimbaji hao binafsi wanakiri wazi kuwa kwaya ndiyo chimbuko la wao kuanza kuimba binafsi, Ukimuangalia Rose Muhando ameimba katika kwaya nyingi, ikiwa ni pamoja na Morogoro, Kilimanjaro kwaya ya Mamajusi Anglican, Dodoma na nhatimaye akaamua kutoka kivyake, blog hii inawauliza wasanii hawa je wanatizama walikotoka, je kwaya zao bado ni hai, kama zinayumba wao kama wasanii wakubwa wananafasi gani za kuhakikisha wanazisaidia kwaya hizo? hili swali tu tujiulize
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
hongera sana dada kazi yako inaonekana, usikate tamaa
Post a Comment