AD (728x90)

Friday, May 6, 2011

WOTE TUMETOKEA KWENYE KWAYA YATUPASA KUZIINUA

Ni jambo la wazi na  ukweli kwamba asilimia 99 kama siyo mia moja za wasanii wa nyimb za injili kabla ya kuibuka walitokea kwenye kwaya mbalimbali hapa nchi lakini pia hata duniani.huu ni ukweli usiopingwa kwani baadhi ya waimbaji hao binafsi wanakiri wazi kuwa kwaya ndiyo chimbuko la wao kuanza kuimba binafsi, Ukimuangalia Rose Muhando ameimba katika kwaya nyingi, ikiwa ni pamoja na Morogoro, Kilimanjaro kwaya ya Mamajusi Anglican, Dodoma na nhatimaye akaamua kutoka kivyake, blog hii inawauliza wasanii hawa je wanatizama walikotoka, je kwaya zao bado ni hai, kama zinayumba wao kama wasanii wakubwa wananafasi gani za kuhakikisha wanazisaidia kwaya hizo? hili swali tu tujiulize

1 comment:

Unknown said...

hongera sana dada kazi yako inaonekana, usikate tamaa

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism