AD (728x90)

Friday, May 6, 2011

NAPE NNAUYE NAYE YUMO,

Nape Nnauye ambaye kwa sasa ni mkurugenzi wa uenezi CCM akicharaza kitaa na kumsifu Mungu jambo lililofanya maelfu ya waumini waliohudhuria kwenye uzinduzi wa albamu ya Mwanawa mfalme iliyoimbwa na Joseph Samson kushangilia kwa nguvu huku wengine wakisema Jembe hilo

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism