Friday, May 6, 2011
KANISA LA MORAVIAN KINONDONI
Jamani hili ndilo kanisa la moravian ushirika wa kinondoni mahali ambapo Hekima Kwaya imetokea, hakika tunamshukuru Mungu kwa ajili ya uweza wake, kanisa hili lilianza kwa wakristo kusali darasani, lakini kwa sasa Mungu ni mwema tunaziona sifa zake, kanisa limeisha na na sasa tumetimiza andiko lile linalosema tuijenge nyumba ya bwana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment