Friday, May 6, 2011
ASEMAVYO MWL. PETER EDSON HEKIMA KWAYA
Uimbaji ni wito kutoka kwa mwenyezi Mungu, unajua Mungu ametupa karama mbalimbali, wapo wahubiri waombaji, wainjilisti, wenye moyo wa kujitoa, watetezi, pia waimbaji, zote hizi ni karama zinazofanya kazi chini ya uangalizi wa Roho mtakatifu, Uimbaji ni sehemu ya mahubiri, hivyo inatulazimu sisi waimbaji kuwa chombo cha sifa lakini pia barua zetu zisomeke ipasavyo, mungu awabariki waimbaji na walimu wanajishughulisha kila siku kuhakikisha kuwa kwaya zao zinafanya vizuri.naomba muelewe kuwa kazi yenu si bure, jibu la maisha yaki lipo usikate tamaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment