AD (728x90)

Monday, May 9, 2011

INGAWA AMETOKA KIVYAKE HAJAIACHA KWAYA

Hakuna muimbaji wa nyimbo za injili ambaye hajui nini anachokifanya katika kuujenga mwili wa Yesu Kristo, Beatrice Muhone ni moja kati ya waimbaji mahiri waliopo katika jiji la Arusha ambaye ameendelea kukonga nyoyo za watu kwa sauti yake na hasa akiwa jukwaani.Ambaye hajui kuwa muimbaji huyu amekuzwa na nani ni vema akaelewa kuwa ni zao la kwaya ya Tumaini kanisa la ST Jam es Anglican ambao hapo awali walitamba na kibao chao  cha 'Duniani Shangilieni' Dada bite alikuwa kifuliwa sauti yake na jamaa mmoja ambaye kwa sasa ni daktari aliyeitwa Elikana kama mwalimu mwandamizi wa kwaya hiyo, maoni yako ni muhimu kwetu

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism