Monday, May 9, 2011
WA KWANZA NI MWALUGENI AKIFANYA KAZI NA HEKIMA WAYA
Hekima kwaya wanajiita wazee wa bandari wakifanya mambo hapa, unajua lazima tukubali kuwa kumtumikia mungu ni fahari, yamkini umebarikiwa katika mengi kumbuka kumtumikia Mungu, jambo la kusikitisha ni kwamba mungu baadhi ya wanakwaya wengi wanapobarikiwa wanaacha kabisa kumtumikia Mungu wao aliye hai
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment