Monday, May 9, 2011
HEKIMA YAPATA UONGOZI MPYA, WAAPA KULETA MABADILIKO
Hivi karibuni kwaya ya Hekima iliyopo katika kanisa la Moravian Ushirika wa Kinondoni ilifanya mchakato wa kuwapata viongozi wake wapya watakao liongoza kundi hilo kwa muda wa miaka minne ijayo, viongozi hao waliochaguliwa pichani ni Dk Frederick Mwakibinga (Mwenyekiti) Mrs Sara Makala (Makamu Mwenyekiti) Anyingisye Mwanjoka (Katibu mkuu) na Dada Rehema Sipendi (Mtunza hazina) hakika ni Mungu tu anayestahili kuabudiwa na kushukuriwa siku zote. Hekima kwaya tunamshukuru Mungu kwa tendo hili. Amen
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment