AD (728x90)

Thursday, May 12, 2011

TULIPO TOKA NI MBALI

Enzi hizo kwaya zetu zilikuwa zinatumia majoho kwenye uimbaji, majoho hayo yalikuwa yanakaa ofisi ya mchungaji, hakuna wa kwenda nalo home, ukienda nalo basi lazima utoe sababu, aaaaa siku hizi watu wanapiga pamba kama kawa, nazani utandawazi ndiyo uliotufikisha hata lazimakwaya ziendane na karne hii ya sayansi na tekinolojia, waone waimbaji hawa enzi zao walipendeza sana

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism