AD (728x90)

Thursday, May 12, 2011

KARAMA HAIZIMIKI

Wapo baadhi ya watu wanadhani kuwa karama ya uimbaji inaishia ujanani, hii si kweli, uimbaji ni mpaka utakapopelekwa kaburini embu waangalie Jessy Dixon na Babbie, hadi sasa wanamtumikia mungu kwa sauti zao nzuri, ukikutana nao utaipenda tu

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism