AD (728x90)

Tuesday, May 10, 2011

PRAISE TEAM WAKIFANYA MAMBO JUKWANI

Jamani twende mbele turudi nyuma uimbaji ni jambo la msingi sana katika maisha yetu ya kila siku, yawezekana wapo baadhi ya watu waliokuwa waimbaji wameacha bila sababu zozote, ila mimi nataka kuwael;eza kuwa hakuna kitu chenya na muhimu kama kukaa nyumbani mwa bwana, ni fahari sana, embu angalia jamaa hapa praise team wakifanya mambo, si unatamani ungekuwa wewe, onjeni jamani muone bwana  yu mwema

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism